Majadiliano

Majadiliano

Tanzanite society Japan

“Umoja ni nguvu.” Ni msemo wa Kiswahili unaotoa wito wa kuunganisha nguvu ilikuwa na mshikamano zaidi na hatimaye kufanikisha malengo ya maisha na kujileteamaendeleo kwa ujumla. Ni kinyume cha msemo, “utengano ni udhaifu.” Watanzaniawanaoishi nchini Japani wanahitaji umoja zaidi ili waweze kusaidiana kikamilifu katikamasuala mbalimbali. Vilevile wanahitaji kubuni mbinu na mikakati inayoweza kuletamaendeleo yao wanapokuwa nchini Japani na pia kusaidia kubuni mikakati ya kuletamaendeleo ya kitaifa nyumbani Tanzania.

Mkutano na mheshimiwa Raisi

MijadalaPosted by tanzanitejp.org Fri, May 31, 2013 23:31:58

Mkutano wa Rais Mh. Dkt. Jakaya M. Kikwete na Watanzania wote waishio Japani - Trh 3/6/2013.